Wapi taa

kakuruvi

JF-Expert Member
Sep 2, 2009
770
256
Police walikuwa kwenye msako usiku kukamata watu wanaoendesha baiskeli bila taa, akawa anakuja jamaa mbio na baiskeli bila taa. Mazungumzo yakawa hivi.
Police-Wapi taa.
Jamaa-Ndioo napita.
 
Police walikuwa kwenye msako usiku kukamata watu wanaoendesha baiskeli bila taa, akawa anakuja jamaa mbio na baiskeli bila taa. Mazungumzo yakawa hivi.
Police-Wapi taa.
Jamaa-Ndioo napita.

Muunganisho wa maneno ndo umekorofisha hapa. Utani wa aina hii wenye maneno yanayoweza kuleta maana nyingine unanogaga sana.
 
Wadau Zimbe, Rigobert na Taijike naona mmeamua kuipiga ki home home, safi sana.
 
Back
Top Bottom