Wapi Sugu?

Yupo mbona na kajitokeza nimemwona kwa macho yangu
Wakuu nipo mjini mbeya hapa ni mara mbili sasa Mh Raisi JPM anamuulizia kijana wetu Sugu awasalimu wananchi lakini kijana hataki kujitokeza lakini pale Songwe alisadikika kuwepo hii imekaeje wadau?
 
Wewe huna macho kabisa wakati Sugu kuitwa na rais na akaenda akawaslimia wananchi pale songwe?
Wakuu nipo mjini mbeya hapa ni mara mbili sasa Mh Raisi JPM anamuulizia kijana wetu Sugu awasalimu wananchi lakini kijana hataki kujitokeza lakini pale Songwe alisadikika kuwepo hii imekaeje wadau?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…