



Vizuri umeelewa.Sentensi moja tu lakini umechapia balaa...Wataalamu wanakuja mkuu![]()
Mkuu umeipata wapi hiyo?Wakuu, napenda kujua Silcon inayotoka kwenye miamba inakuwa ya moto ukiweka Taster inawaka inakuwa Red na black.
Solo lake lipo wapi na bei yake ikoje per litre.
Ipo kaskazini mkuuMkuu umeipata wapi hiyo?
Mkuu kuna utapeli mkubwa sana kwenye biashara hii, labda nikuulize unayo wewe mkononi au unaambiwa tafuta wateja na mali ikoIpo kaskazini mkuu
Mkuu kama unajua bei yake nijuze siwezi tapeliwaMkuu kuna utapeli mkubwa sana kwenye biashara hii, labda nikuulize unayo wewe mkononi au unaambiwa tafuta wateja na mali iko
Mkuu tahadhari sana na hiyo biashara, kila siku unasikia watu wanaiongelea lakini hakuna hata mmoja anakwambia yeye amepata ni maneno na hadithi za kale tuMkuu kama unajua bei yake nijuze siwezi tapeliwa
Kenge huwa hasikii mpaka masikio yatoke damu..Mkuu tahadhari sana na hiyo biashara, kila siku unasikia watu wanaiongelea lakini hakuna hata mmoja anakwambia yeye amepata ni maneno na hadithi za kale tu
Pole sana mkuu umeandika kwa hisia sana kiufupi kabla hujanisharau jidharau ww uliyepoteza utanisamehe ila una ujinga Fulani Fanya tafiti ya jambo kabla hujafanyaKenge huwa hasikii mpaka masikio yatoke damu..
Mm mtu akiongeleaga hizi biashara huwa najikuta ninamdharau na kumshusha thamani sijui kwann.
Hizi biashara kifupi ni za waliopoteza matumaini ya kutoka kimaisha hasa hasa wazee na watu wa makamo.
Mtoa mada nisamehe kwa kukudharau ila unakotaka kwenda wengine tulishaenda tukajionea uhalisia.
Mambo sijui ya Mercury,Silicon,rupia(sijui za masimba simba)Fufumark,shilingi 1 ya malkia naiaka yake,pasi na mataakataka mengine ukijiingiza huko Utajuuta,narudia tena utajuuta.
Mwenzio nimesafirisha sana watu kwenda mombasa.kupelwka hizo mambo ila niliishia kupoteza hela zangu na kuachana nayo hayo.
Sawa mkuu huo ujinga ndio ulionisaidia na kujinasua kutoka hukoP
Pole sana mkuu umeandika kwa hisia sana kiufupi kabla hujanisharau jidharau ww uliyepoteza utanisamehe ila una ujinga Fulani Fanya tafiti ya jambo kabla hujafanya