Yupi? Unamaanisha Ayattollah?Alikuwa anatembea na MM,mwenzie kamtumia katupa kule kama Maputo ya tendo la ndoa.
Morogoro yule baniani kawashika kuliko kawaida, Afande pole yake
Tatizo bangi nyingi kwa mwanangu afande mpaka anasahau kuzindua kampen.
Nimemsikia leo kwenye Panga Pangua Majimboni kupitia Azam TV.Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?
Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?
Ni muda mrefu sijasikia harakati za Afande huyu aliekimbia bunduki sasa anapambana na mike, namaani baba tunda jema, je? harakati zinaendeleaje pale Morogolo au amezidiwa na mafuriko ya UKAWA?