Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,475
- 33,038
Hello JF,
Leo tuisadie serikali yetu kutambua wapi potentially pangetengeneza ajira.
Mimi naanza:
Serikali inge invest kwenye mental health problems. One in four experiences mental health difficulties.
Ila mpaka leo kuna referral hospital tatu tu-Dodoma na Muhimbili, Mloganzila (nimetoka huko kitambo).
Halafu kuna utitiri wa dispensaries kwa ajili ya physical diseases na sio mental health conditions.
Serikali inge invest kwenye hili eneo, kungetoa ajira. Sio tu kwa wafanyakazi wa kawaida bali wengine wangeshawishika kufungua dispensary kwa ajili ya mental health conditions.
Further providing job opportunities.
Haya na nyie mnaona wapi kuna gap.