Alinifanya nilipende Gazeti la Raia mwema miaka ile. Kuna mtu aliniambia alisimamishwa Upadri kwa tuhuma za kushawishi waumini watumie kondom,mwanzo nakumbuka alikuwa jimbo la Lurenge.
Nani anajua alipo huyu mtumishi
Wa Mungu msema kweli?
Namkubali sana huyu padre pamoja na mkewe watu safi kiukweli.Alinifanya nilipende Gazeti la Raia mwema miaka ile. Kuna mtu aliniambia alisimamishwa Upadri kwa tuhuma za kushawishi waumini watumie kondom,mwanzo nakumbuka alikuwa jimbo la Lurenge.
Nani anajua alipo huyu mtumishi
Wa Mungu msema kweli?
Una maana gani kusema kuwa pamoja na mkewe? Acha uchonganishi ndugu.Namkubali sana huyu padre pamoja na mkewe watu safi kiukweli.
Ingawa sijui wapi aliko sasa
Uchonganishi upi?Una maana gani kusema kuwa pamoja na mkewe? Acha uchonganishi ndugu.
Acha uchonganishi ndugu, utasutwa mchana, eti mkewe ni daktari he hua anakutibu?Uchonganishi upi?
Wewe ndie mkewe?
Uliza kama huelewi.
Mke wake ni daktari mzuri sana
Acha uchonganishi ndugu, utasutwa mchana, eti mkewe ni daktari he hua anakutibu?