Kiboko lipo karibu na bweni la wasichana Mbuni
Bweni langu FARU..... Tanga School ilikuwa vizuri, sijajua miaka hii
iko tanga mjini au ni wapi? Na vipi ufundi uko hai au ndio technical jina? Naomba na contacts kama inawezekana. Thanx
Napata faraja sana kukutana na WANAKIUNGA hapa
Mkubwa tupo wengi sana humu jukwaani tuliopitia KIUNGANI.Nakumbuka enzi zetu chini ya KIMUKI,alikuwa hakatizi MTU TTS.
Napenda kufahamu ni wapi nitapata technical secondary schools ya serikali au binafsi nzuri na ni active? Nataka kumpeleka kijana wangu akaanze form one mwakani 2016.
kimuki walindaji wa shamba la shile cku hz ni mitiki ilipandwa mule
Kapteni unatisha Asee TTS ipo juu ila dokeza ww dom lako lilikuwa lipi?Kama ni hivyo siku hizi kutakua na njaa sana,sisi tulikuwa tunalima mahindi na mihogo ya kulisha shule mwaka mzima.Chini ya Uongozi wa H/M TETI na mama Singano tulikuwa hatuna njaa kiungani.