OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Nov 24, 2016 #21 Mwana Ukoo said: Mojawapo kati ya hizo Click to expand... Si ukamate kenge uchinje upate supu mbona wapo wengi tuu tena hawana mwenyewe
Mwana Ukoo said: Mojawapo kati ya hizo Click to expand... Si ukamate kenge uchinje upate supu mbona wapo wengi tuu tena hawana mwenyewe
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Nov 24, 2016 #22 supermarket said: Sijawahi kunywa supu ya kenge, ladha yake ipo vipi mkuu. Supu ya mbwa nimeshakunywa sana Click to expand... IPO Kama supu ya chatu mkuu
supermarket said: Sijawahi kunywa supu ya kenge, ladha yake ipo vipi mkuu. Supu ya mbwa nimeshakunywa sana Click to expand... IPO Kama supu ya chatu mkuu
supermarket JF-Expert Member Joined Sep 10, 2016 Posts 7,453 Reaction score 10,970 Nov 24, 2016 #23 OSOKONI said: IPO Kama supu ya chatu mkuu Click to expand... Sawa mkuu, hivi kenge pia unapomuandaa wakati wa kukata nyama pia anatolewa sumu kama mamba/ chatu.
OSOKONI said: IPO Kama supu ya chatu mkuu Click to expand... Sawa mkuu, hivi kenge pia unapomuandaa wakati wa kukata nyama pia anatolewa sumu kama mamba/ chatu.
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Nov 24, 2016 #24 supermarket said: Sawa mkuu, hivi kenge pia unapomuandaa wakati wa kukata nyama pia anatolewa sumu kama mamba/ chatu. Click to expand... Chatu na kenge hawana sumu ni Kama SAMAKI tuu
supermarket said: Sawa mkuu, hivi kenge pia unapomuandaa wakati wa kukata nyama pia anatolewa sumu kama mamba/ chatu. Click to expand... Chatu na kenge hawana sumu ni Kama SAMAKI tuu
Miss Natafuta JF-Expert Member Joined Sep 16, 2015 Posts 28,122 Reaction score 52,886 Nov 24, 2016 #25 OSOKONI said: Ulipeleka?? Click to expand... ndio mkuu
OSOKONI JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 10,965 Reaction score 5,344 Nov 24, 2016 #26 Miss Natafuta said: ndio mkuu Click to expand... Great!?;
M mockers JF-Expert Member Joined Nov 19, 2013 Posts 12,852 Reaction score 35,620 Nov 24, 2016 #27 DRC nilikula mamba na supu yake, kenge na supu yake, nyama choma ya nyoka, na nyama ya mbwa nilikula kwa Rafiki yangu mchina yuko masaki.
DRC nilikula mamba na supu yake, kenge na supu yake, nyama choma ya nyoka, na nyama ya mbwa nilikula kwa Rafiki yangu mchina yuko masaki.