Chemsha maji kwenye sufuria kubwa mpaka yatokote,kisha ipua hiyo sufuria yako,chukua blanketi zito jifunike nalo na hayo maji yawe yanatoa ule mvuke uvuje jasho la kutosha,yaani kiufupi jifukize, utakua umepata unachokitaka bila ghalama yoyote