Ndiyo,sasa kuagiza China siwezi naulizia kama vinapatikana bongoDah! Asee...unataka uanze kuuza chai/kahawa ya brand yako nini mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe elimu una process vipi hiyo chai yako bhasNdiyo,sasa kuagiza China siwezi naulizia kama vinapatikana bongo
Hongera sana, Sasa saiv ukizipata hizo tea bags tupu utazijaza vipi na kuzifunga Kama huna hiyo mashine?Siyo kazi ngumu sana natengenezea nyumbani ; nilikuwa nataka nianze mwenyewe kama ntapata izo tea bags hapa bongo then niki raise mtaji ninunue hii mashine View attachment 1034941
Kuzifunga ni simple sema tuu inachukua muda mrefuHongera sana, Sasa saiv ukizipata hizo tea bags tupu utazijaza vipi na kuzifunga Kama huna hiyo mashine?
Jaribu kuagiza online hizo bags utapata na kampuni za kusafirisha vifurushi zipo nyingi tu mzigo wako utafika hapa bongo bila tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio elimu ninayoiomba, jinsi ya kuzijaza na kuzifunga bila kutumia mashine.Kuzifunga ni simple sema tuu inachukua muda mrefu
Mkuu nilikuwa na wazo kama lako ila nilishindwa kuanza baada ya kukosa mashine kwa ajili ya hivo vifungashio nipe darasa jinsi gani utaweza kufunga na mimi nianze project yangu ya home made instant ....
Ingia YouTube ndo utaelewa zaidi ,kwa sababu inategemea na teabags ni aina gani zipo zingine za kuvuta tuu icho kikambaNdio elimu ninayoiomba, jinsi ya kuzijaza na kuzifunga bila kutumia mashine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio elimu ninayoiomba, jinsi ya kuzijaza na kuzifunga bila kutumia mashine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hizi aina za tea bag ulizotuma kiukweli sijawahi kuziona bongo. Ila fanya Kama Nilivyokwambia awali. Nunua mtandaoni zitakufikia tu.Fanya michakato basi tujue tunavipata wapi,mi nataka ni base kwenye organic energy tea
Nakuuliza kama unajua wap wanauza raw materials za kutengenezea sabuni za mwiliniNdio elimu ninayoiomba, jinsi ya kuzijaza na kuzifunga bila kutumia mashine.
Sent using Jamii Forums mobile app