Wapi nitaweza kubadilisha dola za mwaka 2003?

Upanga

Senior Member
Joined
Jun 18, 2007
Posts
145
Reaction score
50
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
 
Nenda marekani watakupa dollar zngne
 
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank wamekataa, kama kuna mtu anafahamu wapi nitabadili natanguliza shukrani zangu
Nenda Bureau ya pale Msimbazi kwenye kona karibu na mataa ya Congo... Hawabaguagi jana tu nimebadili iyo dollar ya mwaka 2003. Inajaa watu sana nenda mapema
 
Wanabadilisha,sema itashuka thamani kidogo kulinganisha na series ya 2006
 
Nimefanikiwa kubadilisha pale Bureau iliyopo Congo na Masimbazi jamaa wamechukua bila shida aksante sana wadau.
 
Back
Top Bottom