Naomba kuelimishwa kuhusu kubadilisha wakuu wa idara mbalimbali hasa za Serikali

StudentTeacher

JF-Expert Member
Jan 30, 2019
3,679
3,718
Salaam wana JF,

Naomba kuuliza kuna sababu zipi za msingi za kubadilisha wakuu wa idara mbalimbali hasa za serikali. Unakuta ndani ya mwaka wanabadilishwa mara tatu,nne n.k

Natanguliza shukrani.
 
Back
Top Bottom