Wapi nitauza madini ya vito aina ya Acquamarine?

Wapi nitauza madini ya vito aina ya Acquamarine?

kinondoni kuna ofisi wananunua, namanga na pia magomeni, nitafute 0653809008 tuelekezane
 
Kama kitu hujui kwani lazima uchangie?
 
gugo na wewe ujue utauza wapi
Kama huna cha kuchangia bora ukae kimya. Nilianza kwa ku google sikupata nilichokuwa natafuta. Lakinj uki google picha za acquamarine gemstone ziko za kumwaga.
 
Kama huna cha kuchangia bora ukae kimya. Nilianza kwa ku google sikupata nilichokuwa natafuta. Lakinj uki google picha za acquamarine gemstone ziko za kumwaga.
kama huna cha kuandika bora ukae kimya... haya madini wewe sio wakwanza kuyaelewa kuyafanyia biashara...

picha ya madini halisi na picha ya kugugo ni tofauti... na hapa ndipo kuna ushawishi wa ubora wa madini yenyewe au pia yawezekana hata ukawa umekosea jina la hayo madini ukasaidiwa zaidi... na wapo wenzio walikuja wakizani ni madini fulani kumbe sio na wakaeleweshwa na kuelewa...

unapo ulizwa kitu kuwa na kauli za kistaharabu sio kujibu hovyo unao waomba wakusaidie... maana wata kupuuza...

sina mengi nikutakie biashara njema
 
Back
Top Bottom