Wapi nitapata vitunguu?

Wapi nitapata vitunguu?

chavalla

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
451
Reaction score
354
Nilikuwa naishi Mozambique hasa mkoa wa Cabodelgado ila kutokana na changamoto za kiusalma kule nimeamua kurudi kwetu na nipo Njombe.

Na nataka sasa kujishughurisha na biashara ya vitunguu. Wanajamvi naomba kujua kwa sasa naweza kuvipata wapi?

Kwa ushauri waweza nipata kwa no yangu 0715555521.

Natanguliza shukran kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora umerudi nyumbani, nimeona ndugu zetu kule wanavyotendewa.
Karibu sana nyumbani.
 
Mkuu mwezi wa sita nenda mang'ola ipo wilaya ya karatu mkoa wa arusha
 
Write your reply...Kuna vitunguu maji na swaumu unataka ipi mkuu?
 
Back
Top Bottom