Miss Jay
JF-Expert Member
- Jun 2, 2013
- 211
- 174
Habari wana jukwaa,
Natumai wote mu wazima wa afya na mnaendelea na majukumu yenu.
Nilikua nataka kuuliza ni wapi nitapata jewelleries za jumla kama hereni, mikufu, bangili za english gold pamoja na saa za kike na za kiume.
Anaefahamu duka au sehemu ambayo naweza kuvipata au kama kuna mtu anauza humu basi anitafute tujue tunafanyaje.
Asanteni sana