Kununua kioo ni karibu sawa na kununua tv.....Msaada nahitaji kujua sehemu nayoweza kupata vioo vya tv Flatscreen LG na Samsung kwa hapa Dar ikiwezekana na fundi wa kubadilisha.
Unakereka na majibu ambayo hayana maana, hata Online kuna Vioo pia.sio lazima kusoma pia kila post Boss kama nimenunu online tauliza wapi? sio vzr kujibu majibu ambayo yanamkera m2 hata usiyemfamu
bado cjajua unatafuta nnn kwenye post hii mpk ss unaacha kabisa kufaya kazi zako upo busy na post yng unabishana kwa ki2 kisicho na maana kwako kama vile jamiiforum ni mali yako Duuh!! binaadam bhanaUnakereka na majibu ambayo hayana maana, hata Online kuna Vioo pia.
Sijajua unaumia nini nikichangia kwenye uzi wako, unaacha kufanya kazi zako unakaa kuponda andiko langu.bado cjajua unatafuta nnn kwenye post hii mpk ss unaacha kabisa kufaya kazi zako upo busy na post yng unabishana kwa ki2 kisicho na maana kwako kama vile jamiiforum ni mali yako Duuh!! binaadam bhana
kariakoo vipo bei ni hii kama utahitaji nikuelekeze 300,000/= bei hiyo ni ukubwa wa inch 32 zaidi ya hapo sijui bei.Msaada nahitaji kujua sehemu nayoweza kupata vioo vya tv Flatscreen LG na Samsung kwa hapa Dar ikiwezekana na fundi wa kubadilisha.