Mlatino Zeshalo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2014
- 2,223
- 3,745
Agiza kikuu
Vunja beiWadau habari, naomba kujuzwa ni wapi nitapata viatu kama hivi ndani ya mkoa huu wa Arusha?? Na bei ikojee
Ahsanteni View attachment 2044094View attachment 2044098View attachment 2044096View attachment 2044095
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
nimechukua pia katoro Geita juzi kwa elfu 70Agiza Dar. Nilinunua 70 last week.
Tims og laki tatu na ushenzi nililetewa zawadi from uk na ile buti ni made in dominican republicMi nawashangaa wanaosema eti kuna OG 🤣. Tims OG iuzwe elf 70 we ulisikia wapi? Hata zinazouzwa 150k nazo sio OG vile vile ni basi tu kuna mchina grade 1, 2, 3 nk..😀
Mkuu,sio kwamba kiwanda kinatoa viatu mbali mbali vya bei tofauti ? mfano kampuni za simu zinavofanyaTims og laki tatu na ushenzi nililetewa zawadi from uk na ile buti ni made in dominican republic
Mi sijui mdau ila kama uingereza kuna bidhaa feki basi sawa.......Mkuu,sio kwamba kiwanda kinatoa viatu mbali mbali vya bei tofauti ? mfano kampuni za simu zinavofanya
Duh Pole sana mkuu,binafsi navielewa tu sanaNdula kama hizo ziliwahi kuniletea msukosuko hapo Arusha mwaka ya 1995....
Nilizinunua majuu kwa ajili ya Safari, kufika Arusha wakora wakanifanyizia unyambisi, wakanivua viatu, pesa na pasi ya kusafiria.
Nilifanikiwa kuwadaka wabaya wangu Baada ya kuanzisha msako binafsi kimya kimya. Nilipiga Kambi Arusha nusu mwaka kwenye kesi iliyowapeleka wakora hao miaka 30 jela....
Mkuu kwa nini unavitaka sana hivyo viatu?.
Hivi viatu ukiona vimepigwa weusi kama domo la fisi mbele huwa ni fake ni vya kimara, wako Machalii pale hatari sana, ufeki wake unakuwa katika soli, lakini kwa ngozi ya juu wanapatia kwa 100%,infact wajitahidi kupata soli nzuri na imara.Viatu dizaini hii vyote ni feki mkuu wala hamna cha kuangalia angalia hapo.
Ulivipata?Duh Pole sana mkuu,binafsi navielewa tu sana
Hizi safari boots(manyama) utapata kwa 35000/= zipo za Kenya pia.Agiza Dar. Nilinunua 70 last week.