Hio ni tims wewe sio ule utopolo wa fake leather!Hicho kiatu ni 40000 tu
Og kabisa tena sio boxHio ni tims wewe sio ule utopolo wa fake leather!
Eeh Kitu mti kabisa huoOg kabisa tena sio box
Haaaaa Haaaaa 😂 mkuu nakuogopa mbaya kabisa kumbe upo hii town ya watalii 😀😀😀Njoo matejoo tu na hiyo hela pamoja na simu yako iweke chaji ijae kabisa tutakusaidia kutafuta hiyo kiatu
Kama kawaida yako😱😱Ngoja waje kukupa muongozo...
Wamejazana Insta. Njoo Kariakoo 2020, Robby Sports Wear, na David Sports Wear.
Kwenye hayo machimbo haupati Og..Wamejazana Insta. Njoo Kariakoo 2020, Robby Sports Wear, na David Sports Wear.
OG za Timberland sio 70.Kwenye hayo machimbo haupati Og..
Eeh bana Geneva ya africa tuko nayo bega kwa bega, karibu ol-matejoo usipaogope huku ni full amani kila baada ya nyumba 10 unakuta msikiti na kanisa ila watoto kutoka huko mitaa ya kishua wameamua kutuharibia jina la mtaa wetu matejoo, wanaamisha wageni kuwa huku ni chimbuko la vibaka na wezi kitu ambacho si kweli hakuna kesi za kukabana wala nini.Haaaaa Haaaaamkuu nakuogopa mbaya kabisa kumbe upo hii town ya watalii
![]()
Mimi nadhani hio ni mbuti...🤣🤣🤣Hicho nacho ni kiatu kwa akili yako,,,,
Hayo si ni mabuti
Mi nawashangaa wanaosema eti kuna OG 🤣. Tims OG iuzwe elf 70 we ulisikia wapi? Hata zinazouzwa 150k nazo sio OG vile vile ni basi tu kuna mchina grade 1, 2, 3 nk..😀OG za Timberland sio 70.
Tims OG mchezo! Wacha wavaa midosho na ming'aro ya kariakooMi nawashangaa wanaosema eti kuna OG 🤣. Tims OG iuzwe elf 70 we ulisikia wapi? Hata zinazouzwa 150k nazo sio OG vile vile ni basi tu kuna mchina grade 1, 2, 3 nk..😀
Halafu ununue Kariakoo 70,000 useme Una OG!!! 70,000 inaweza isitoshe hata dawa ya kusafishia hiko kiatu
Kiatu kama hiki nilinunua Kariakoo mtaa wa Congo...Jengo la "Congo tower"...ile floor ya chini kabisa...kuna Viatu pale balaa.Wadau habari, naomba kujuzwa ni wapi nitapata viatu kama hivi ndani ya mkoa huu wa Arusha?? Na bei ikojee
Ahsanteni View attachment 2044094View attachment 2044098View attachment 2044096View attachment 2044095
Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app