wapi nitapata udhamini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wapi nitapata udhamini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Ticha, Mar 13, 2010.

 1. Ticha

  Ticha Senior Member

  #1
  Mar 13, 2010
  Joined: Aug 26, 2007
  Messages: 136
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  mwenzenu nimepata chuo UK (scotland) kinaitwa aberdeen,nataka kusoma masters ya education.lakini sijapata mdhamini.Naomba mnisaidie nifanyeje ili kupata sponsor huko UK,au watu gani wanaotoa udhamini huko au hapa hapa tanzania.
   
Loading...