Wapi nitapata Suti ya kiume ya kukodi?

sintah

Senior Member
Joined
Aug 18, 2013
Posts
187
Reaction score
191
Wakuu habari za jioni,

Natafuta mtu mwenye suti kali ni kodi kwa siku moja nnatukio muhimu na uchumi wa kununua suti ya laki mbili sina kwa sasa.

Kama unayo au unamfahamu mtu anayeweza kunisaidia tafadhali nisaidie.

Kiuno 36
 
Nina suti moja Kali sana ya dark blue, ipo tu Nina miaka sijawahi kuivaa. Kiuno 37 kama itakua poa kwako njoo uchukue, sitaki hata senti
yap nko interested sana na koti na kizibao suruali sio tatizo
 
Kuna casual unaeza piga ukawa very unique na impressive. Hebu jaribu.
 
Kuna mwanangu mmoja ananishonea suti na kitambaa kwa laki tu na zimesimama balaa na vitambaa quality sio kama midosho ya kichina
huyo itabidi nmtafute mambo yakikaa sawa, yupo mtaa gan
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…