T Thegame JF-Expert Member Joined Oct 14, 2011 Posts 2,273 Reaction score 2,403 Jun 10, 2014 #1 Wakuu kuna biashara nafungua ila inahitaji umeme masaa 24/7. Hitaji langu ni kuwa na standby generator yenye uwezo wa kuendesha Majokofu matatu, TV, kiyoyozi pamoja na taa! Wapi naweza kuipata na kwa bei gani?? Naomba msaada kwa hili!!
Wakuu kuna biashara nafungua ila inahitaji umeme masaa 24/7. Hitaji langu ni kuwa na standby generator yenye uwezo wa kuendesha Majokofu matatu, TV, kiyoyozi pamoja na taa! Wapi naweza kuipata na kwa bei gani?? Naomba msaada kwa hili!!