Nyavinene Senior Member Joined Jul 28, 2020 Posts 164 Reaction score 175 Sep 3, 2020 #1 Jamani! Nipo natokea Tabora naelekea Kisumu Kenya ila natarajia kununua samaki wa kwenda nao huko. Kwa wenyeji naomba mnipe mwalo wa kupata hizo samaki kwa bei ya jumla
Jamani! Nipo natokea Tabora naelekea Kisumu Kenya ila natarajia kununua samaki wa kwenda nao huko. Kwa wenyeji naomba mnipe mwalo wa kupata hizo samaki kwa bei ya jumla
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,049 Reaction score 1,455 Sep 3, 2020 #2 Nenda karibu na bismark rock upande wa kulia.
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,049 Reaction score 1,455 Sep 3, 2020 #3 Lakini mkuu mbona huko kisumu ziwa victoria lipo.
Nyavinene Senior Member Joined Jul 28, 2020 Posts 164 Reaction score 175 Sep 3, 2020 Thread starter #4 Rodrigo Moreno said: Lakini mkuu mbona huko kisumu ziwa victoria lipo. Click to expand... Nataka wa mwanza mkuu
Rodrigo Moreno said: Lakini mkuu mbona huko kisumu ziwa victoria lipo. Click to expand... Nataka wa mwanza mkuu
Terrible Teen JF-Expert Member Joined May 1, 2017 Posts 1,234 Reaction score 3,542 Sep 3, 2020 #5 Nyavinene said: Nataka wa mwanza mkuu Click to expand... wa mwanza wanz vichwa vikubwa kama cha jamaa yetu
Nyavinene said: Nataka wa mwanza mkuu Click to expand... wa mwanza wanz vichwa vikubwa kama cha jamaa yetu
INTROVERT MAN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2019 Posts 1,049 Reaction score 1,455 Sep 3, 2020 #6 Nyavinene said: Nataka wa mwanza mkuu Click to expand... Fika bismarck rock pale aka kwenye lile jiwe maarafu. Ila kabla hujafika hapo ulizia wanapouza samaki .Chap unaelekezwa tena bure kabisa
Nyavinene said: Nataka wa mwanza mkuu Click to expand... Fika bismarck rock pale aka kwenye lile jiwe maarafu. Ila kabla hujafika hapo ulizia wanapouza samaki .Chap unaelekezwa tena bure kabisa
mdudu JF-Expert Member Joined Feb 6, 2014 Posts 7,029 Reaction score 10,025 Sep 3, 2020 #7 Rodrigo Moreno said: Nenda karibu na bismark rock upande wa kulia. Click to expand... Hapo wanapatikana kamaki wa kukaanga,na siyo wa kubanika
Rodrigo Moreno said: Nenda karibu na bismark rock upande wa kulia. Click to expand... Hapo wanapatikana kamaki wa kukaanga,na siyo wa kubanika