wa mwanza wanz vichwa vikubwa kama cha jamaa yetuNataka wa mwanza mkuu
Fika bismarck rock pale aka kwenye lile jiwe maarafu. Ila kabla hujafika hapo ulizia wanapouza samaki .Chap unaelekezwa tena bure kabisaNataka wa mwanza mkuu
Hapo wanapatikana kamaki wa kukaanga,na siyo wa kubanikaNenda karibu na bismark rock upande wa kulia.