Wapi nitapata powervu software ya hometech combo receiver

Wapi nitapata powervu software ya hometech combo receiver

HUNDYZ

Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
24
Reaction score
3
Naomba msaada wadau, wapi naweza kupata powervu software ya hometech receiver na firmware reciever zangu zote zinafungua hbo pekee,zinagoma kufungua AFN SPORT na SONNY package. Msaada wenu unahitajika wadau
IMG_20170731_215925.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naomba msaada wadau, wapi naweza kupata powervu software ya hometech receiver na firmware reciever zangu zote zinafungua hbo pekee,zinagoma kufungua AFN SPORT na SONNY package. Msaada wenu unahitajika wadauView attachment 556840

Sent using Jamii Forums mobile app

[HASHTAG]#HUNDYZ[/HASHTAG], habari za muda. Decoda hii ya HomeTech 940II Combo HD nimepata kuiona mara ya kwanza ikitokea TZ. Shida ya decoda sampli kama hii ya kwako ni kua wadau wa China hawana "software" ya moja kwa moja. Na ikiwepo "support", inachelewa sana.

Software ya hivi karibuni ni ya tarehe v.23.10.2017 na inapatikana hapa:
https://drive.google.com/file/d/0B3yJQJbH34rRSnhHd0gwUUV6a2c/view

Ikiwa vyema na wewe tafadhli ifungue decoda ya kwako na upige picha na nambari ya motherboard. Kisha piga picha ya "STB INFORMATION". Habari hizi husaidia sana kupata software ambayo inaambatana na hii decoda.

Asante.
 
Natuma dekoda ya tiger e11 utra ila nashindwa ipata sport24
 
Habari wanandugu? kuna jamaa yangu amenunua Hometech decoder nataka kufunga ila sijui frequency zake wala symborate
please kama kuna mtu anazijua naombe msaada
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom