Mara ya mwisho vilikuwa vimefika 1.5 sijui, ni zile linkall ambazo zinataka kama kufanana na zile yamaha fulani hivi(jina maarufu limenitoka)
Betri zinakaa na moto, waterloo kasema siku hizi zipo mpaka za km 90/charging. Ila kawaida baada kama ya mwaka betri zinakuwa zimekufa nguvu unabadili, betri mule zipo 5, zamani bei ilikuwa 250k sijui sasa hivi zitakuwa zimesimama vipi.