Jaribu pitiapitia viwandani hasa TBL, SBL au viwanda vya soda huwa kuna kipindi wanaziondoa pallet zilizochoka...Nahitaji used
Nahitaji used
Kuna international standard lazima pallet zote zi miti hiyo dimension so zote ziko sawaUnataka mpya au used?
Kubwa au ndogo?
Una failKuna international standard lazima pallet zote zi miti hiyo dimension so zote ziko sawa
OKUna fail