mutu murefu
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 918
- 2,269
- Thread starter
- #21
MREJESHO
nashukuru sana wana jukwaa, hatimaye nimepata oxygen sensor kutoka kwa “Jerry spare parts”
Kwa wenye uhitaji wa spare parts hasa magari ya Ulaya wanaeza mcheki uyu mwamba +255 715 666 656
Shukrani
Inaitwa air mass ngoja nikuchekieHabari za Asubuhi wakuu.
Gari yangu Volkswagen polo 1.4L ya mwaka 2006 imekufa “oxygen sensor” naomba kwa wajuvi wanisaidie wapi naweza kuipata na bei ni kiasi gani.
imeandikwa hivi
NTK JAPAN 12V
VW AG 036 906 262 T
Naamini kuna wauzaji spea humu na wataalam wenye ujuvi wa maduka wanapouza hizi spea. Kwa sasa nipo Mbeya, kama kuna wadau wanajua sehemu naeza kupata au hata Dar naombeni msaada.
View attachment 1820126
View attachment 1820127
View attachment 1820128
View attachment 1820129
Bei sh ngapi hiyo spea?
-Kaveli-
Inaitwa air mass ngoja nikuchekie
Jaribu machimbo ya Sweetcorner barabara ya Sinza Kijiwe hadi Magomeni Moroko wanakata sana magari unaweza kupataHabari za Asubuhi wakuu.
Gari yangu Volkswagen polo 1.4L ya mwaka 2006 imekufa “oxygen sensor” naomba kwa wajuvi wanisaidie wapi naweza kuipata na bei ni kiasi gani.
imeandikwa hivi
NTK JAPAN 12V
VW AG 036 906 262 T
Naamini kuna wauzaji spea humu na wataalam wenye ujuvi wa maduka wanapouza hizi spea. Kwa sasa nipo Mbeya, kama kuna wadau wanajua sehemu naeza kupata au hata Dar naombeni msaada.
View attachment 1820126
View attachment 1820127
View attachment 1820128
View attachment 1820129
Jaribu machimbo ya Sweetcorner barabara ya Sinza Kijiwe hadi Magomeni Moroko wanakata sana magari unaweza kupata
Inapendeza kwa kupata muongozo...MREJESHO
nashukuru sana wana jukwaa, hatimaye nimepata oxygen sensor kutoka kwa “Jerry spare parts”
Kwa wenye uhitaji wa spare parts hasa magari ya Ulaya wanaeza mcheki uyu mwamba +255 715 666 656
Shukrani
Vipi umekuja kupata hiyo sensor?Habari za Asubuhi wakuu.
Gari yangu Volkswagen polo 1.4L ya mwaka 2006 imekufa “oxygen sensor” naomba kwa wajuvi wanisaidie wapi naweza kuipata na bei ni kiasi gani.
imeandikwa hivi
NTK JAPAN 12V
VW AG 036 906 262 T
Naamini kuna wauzaji spea humu na wataalam wenye ujuvi wa maduka wanapouza hizi spea. Kwa sasa nipo Mbeya, kama kuna wadau wanajua sehemu naeza kupata au hata Dar naombeni msaada.
View attachment 1820126
View attachment 1820127
View attachment 1820128
View attachment 1820129
pole sana mkuu umeagiza kwa sh ngapi? ishafika?
unaeza nipa procedures za kuagiza maana sijawahi kuagiza kabisa