Wapi nitapata Oxygen sensor ya Volkswagen Polo 2006

mutu murefu

JF-Expert Member
Jan 3, 2017
918
2,266
Habari za Asubuhi wakuu.

Gari yangu Volkswagen polo 1.4L ya mwaka 2006 imekufa “oxygen sensor” naomba kwa wajuvi wanisaidie wapi naweza kuipata na bei ni kiasi gani.

imeandikwa hivi

NTK JAPAN 12V

VW AG 036 906 262 T

Naamini kuna wauzaji spea humu na wataalam wenye ujuvi wa maduka wanapouza hizi spea. Kwa sasa nipo Mbeya, kama kuna wadau wanajua sehemu naeza kupata au hata Dar naombeni msaada.

IMG_5794.jpg

IMG_5789.jpg

IMG_5795.jpg

IMG_5793.jpg
 
Mcheki Isanga family akuchekie. Ukiwa Mbeya spea za gari za Ulaya ni rahisi umecheki mitaa ya Soweto/Kabwe au agiza Tunduma pale ukiingia gereji zilizo upande wa Nakonde utapata haraka.
 
Wakuu huyu Jerry bei zake zipoje kea service ya kawaida tu? Maana namuona Kama fundi msomi, aliye tayari kujifunza kila siku
ukipeleka gari kwake mwambie alicheki then akupe list ya vyote vyenye shida na bei na labour charges then ndo mkubaliane nimekuambia hivi maana ukimuacha tu ukamwambia nitengenezee gari usishangae ukija kuchukua gari lako ukakutana na invoice ya milioni nne wakati we ulikuwa na bajeti ya laki 8. Kingine huenda wewe ukawa na aina ya oils unazoziamini mfano wewe unaamin gear box oil fulan ndo nzuri kwa gari unamkuta jerry kakuwekea oil zake pendwa za atlantic au spare unazozipenda mfano shock up wewe unapenda monroe, but ukakuta jerry kakuwekea kyb. ni fundi mzuri but ukijichanganya tu anakupiga mihela
 
Back
Top Bottom