Wapi Nitapata Olive Oil???

Wapi Nitapata Olive Oil???

Nsuri

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2011
Posts
1,013
Reaction score
562
Jamani naulizia wapi wanauza olive oil kwa jumla???
 
Kama upo hapa mjini dsm, nenda kariakoo mtaa wa nyamwezi na mkunguni uliza dukani kwa abdulswamad muuza madawa ya asili utapata.
 
Imalaseko na uchumi supermarket yapo saizi kuanzia ndogo hadi kubwa, pia supermarket za mlimani city waone watakuelekeza wapi utapata kwa jumla.
 
Asante, milimani city yako ila ujazo mkubwa ni lita moja, mm nataka kuanzia ujazo wa lita3 mpka5
Imalaseko na uchumi supermarket yapo saizi kuanzia ndogo hadi kubwa, pia supermarket za mlimani city waone watakuelekeza wapi utapata kwa jumla.
 
Asante kuu, nitajitahidi ila mm co mzuri sana wa mitaa ya kkoo, huna namba yake??
Kama upo hapa mjini dsm, nenda kariakoo mtaa wa nyamwezi na mkunguni uliza dukani kwa abdulswamad muuza madawa ya asili utapata.
 
Maadam unataka lita 5 basi kesho nitakutafutia bei yake, Usijali
 
Back
Top Bottom