Wapi nitapata milango na madirisha ya alminium

Wapi nitapata milango na madirisha ya alminium

Nenda kwa wachina chang'ombe industrial Area Godown namba 3 wanabei nzuri na kazi ya uhakika watakuja kupima kwanza site ndo wakupe bei. Wapo karibu na kiwanda cha Plasco.
Mimi walinifanyia kazi bei yao poa kulinganisha na mafundi wa Gerezani au mitaani maana nilifanya utafiti wa kulinganisha bei kwa kutumia mafundi wengi tofauti
Wao material wanaingiza shehena kubwa ndo maana bei zao zipo chini kidogo.
 
Mm nafanya hizo kazi nitakutengezea kwa,laki na ishirini kwa squre meter call 0757327076 john
 
Kwa wachina sqm ni 100,000 pia kama kazi kubwa unapata punguzo
 
NDANDA ALUMINIUM AND GLASS ndiyo jibu lako sq m ni 1,10,000 piga 0719418051
 
Nenda kwa wachina chang'ombe
industrial Area Godown namba 3 wanabei nzuri na kazi ya uhakika
watakuja kupima kwanza site ndo wakupe bei. Wapo karibu na kiwanda cha
Plasco.
Mimi walinifanyia kazi bei yao poa kulinganisha na mafundi wa Gerezani
au mitaani maana nilifanya utafiti wa kulinganisha bei kwa kutumia
mafundi wengi tofauti
Wao material wanaingiza shehena kubwa ndo maana bei zao zipo chini
kidogo.
Thanks mzee Wenger,nimekupata ngoja ntawatafuta
 
Kwa wachina sqm ni 100,000 pia kama kazi kubwa unapata punguzo
Madirisha ni futi 6*5 yapo mawili,futi 5*5 yapo manne,futi 4*5 yapo mawili sijui inakuwaje ukipeleka kwenye sq meter.
Thanks
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom