T Truth Matters JF-Expert Member Joined Apr 12, 2013 Posts 2,633 Reaction score 5,612 Mar 6, 2017 #1 Wakuu, Kuna anayefahamu wapi nitapata mbegu bora za karanga zinazofaa kwa maeneo ya Pwani? Tafadhali naomba msaada huo! shukran!
Wakuu, Kuna anayefahamu wapi nitapata mbegu bora za karanga zinazofaa kwa maeneo ya Pwani? Tafadhali naomba msaada huo! shukran!
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,197 Mar 6, 2017 #3 Maduka ya pembejeo za kilimo
Mkulima na Mfugaji JF-Expert Member Joined Jul 26, 2013 Posts 1,056 Reaction score 1,867 Mar 7, 2017 #4 Kama kuna Mtu yuko Mtwara muagizie kwenye kituo cha utafiti cha Naliendele wana mbegu safi sana za karanga
Kama kuna Mtu yuko Mtwara muagizie kwenye kituo cha utafiti cha Naliendele wana mbegu safi sana za karanga