merluhende21
New Member
- Nov 4, 2011
- 3
- 0
Wadau nina shuda sana na Matofali ya namna hii, kwa mwenye ujuzi anijuze tafadhali. Haijalishi yapo mkoa gani, Cha muhimu ni upatikanaji na bei...View attachment 37892
vipi ulishapata haya matofari , nauliza unafahamu kama kuna upatikanaji wa matofari ya kuchoma bagamoyo na ni bei gani? nina site yangu makurunge bagamoyo je kuna mtu anaweza kunisaidia ni wapi nitapata matofari ya kuchoma?? na pia naomba kuuliza mtu mwenye ujeuzi nina heka 5 za shamba huko bagamoyo na nitataka kujenga fence je unadhani fence ya matofari ni rahisi au kuna njia nyingine ya kujenga fence ambayo ni rahisi ??nafikia tofari za kuchoma naweza afford kama zinapatikana ,asante.
Tatizo kubwa ya matofali haya ni kwamba they are cured by cutting and burning lots of trees...Hongera kwa kupata mwamko wa kutumia mali ghafi bora na rahisi inyopatikana sehemu nyingi. Matofali ya aina hii yanaweza kufyatuliwa kwa kutumia udongo wenye madini ya iron na clay (Ruvuma, Rukwa, Geita, Njombe etc), na mafundi wa kuyafyatua wanapatikana Songea, Sumbawanga, Mbozi, Tunduma na Makambako. Nenda pale maeneo ya nyuma ya mlimani city kama uko Dar ukajionee nyumba zilizojengwa kwa tofali hizi, au pitia Vawa Mbozi, Laela Sumbawanga kote utaona nyumba zimejengwa kwa tofali za rangi na aina hiyo. Anza kuchakarika ndugu, ushauri nimekupa.
Tatizo kubwa ya matofali haya ni kwamba they are cured by cutting and burning lots of trees...
Mkuu nahitaji hizo tofari vipi?Bei ni Tsh 80/- kwa tofali. matofali 6 ni sawa na 1 tofali la cement.
Umesahau Tukuyu mkuu.Hongera kwa kupata mwamko wa kutumia mali ghafi bora na rahisi inyopatikana sehemu nyingi. Matofali ya aina hii yanaweza kufyatuliwa kwa kutumia udongo wenye madini ya iron na clay (Ruvuma, Rukwa, Geita, Njombe etc), na mafundi wa kuyafyatua wanapatikana Songea, Sumbawanga, Mbozi, Tunduma na Makambako. Nenda pale maeneo ya nyuma ya mlimani city kama uko Dar ukajionee nyumba zilizojengwa kwa tofali hizi, au pitia Vawa Mbozi, Laela Sumbawanga kote utaona nyumba zimejengwa kwa tofali za rangi na aina hiyo. Anza kuchakarika ndugu, ushauri nimekupa.