JF-Expert Member
- Oct 29, 2012
- 1,889
- 1,127
poa mkuu!Mi ni dada mkuu
poa mkuu!Mi ni dada mkuu
nah sidhani kama kuna cheti.........ila kwa wale wanaosoma pale kuna course kabisa ya mambo ya swimming
Na dispensary ipo karibu sana pale just incase! !!!!!!
hahaa kweli just in case LOL brother mambo yako bana
Kuogelea kwa self defense???...ndio nini hiyo?...na uliiona wapi hiyo defensive swimming?..against what or who?
Dada mkuu tusiojua kuogelea tupo wengi, kwa maeneo ya kigamboni wap wanafundishat tuende?
Kigamboni hata sijui kwa kweli............