Usithubutu dragon ni kampuni ya hovyo kuliko zote. Mabati ndani ya miaka mitatu yatakuwa yamepauka mbaya.Bei gani, na je guage 30 bei gani
Usithubutu dragon ni kampuni ya hovyo kuliko zote. Mabati ndani ya miaka mitatu yatakuwa yamepauka mbaya.Bei gani, na je guage 30 bei gani
Mwaka wa 9 Sasa kama nimeweka janaUsithubutu dragon ni kampuni ya hovyo kuliko zote. Mabati ndani ya miaka mitatu yatakuwa yamepauka mbaya.
Weekend ntakuwa mitaa hiyoAlaf ndio habari ya mjini buguruni pale ndio sehemu sahihi
Na bei yake uijue pia......Alaf ndio habari ya mjini buguruni pale ndio sehemu sahihi
ALAFWakuu habari
Wapi nitapata mabati ya bei rahisi yale ya migongo mipana kwa mkoa wa Dar es Salaam.
Bei hizo tofauti tofauti ni kiasi gani kwa kila gauge