Wapi nitapata mabati Reject(Yaani yaliyotumika)?

FWBTZ

Member
Sep 20, 2018
90
88
Kwema wakuu??

Naomba kuuliza ndugu zanguni ni wapi naweza pata mabati reject au mabati yale huwa wanasema ya kiwango cha chini?

Nimejaribu kuwapigia hawa wenye viwanda vya kutengeneza mabati kama ALAF na SUNSHARE wameniambia huwa hawana mabati "reject". Bati ninazohitaji ni kama zile zinazozungushiwa kwenye sites kubwa kama uzio kwa ajili ya mabanda ya kuku na wanyama wengine. Nisaidieni kwenye hili wakuu nazipataje?

Mimi napatikana Dar es salaam.

Nawasilisha.
 
Uko wapi?Kama uko Dar nenda mapambano Nyuma ya TBC Taifa au vertinary Mkabala na Wizara ya mifugo zamani kabla hajahamia kule Kwenye ile Hosptali yao.
 
Asante mkuu, vipi bei zao huwa zinaendaje??
 
Hayo mengi tu kwenye sehemu wanazouza vitu used kama Milango,madirisha,mbao za lenta,nk zipo sehemu nyingi sana...Tafuta mafundi seremala waulize mbao used zisizo na kiwango wanazipatiaga wapi?

huko ndio kuna hizo bati na vitu vingine vingi tu...kuna yale ma board ya magumu ya zege yani kama shda yako ni banda la kuku Andaa kama LAKI tu nenda kachukue mabati na makorombwezo kibao.

Nakumbuka nilinunuaga mbao kwa 1500 mpk 2500...bati nilinunuaga kwa 7000,Ceiling board 5000,vitu vingi sana ni wewe tu mkuuu.
 
Mkuu ungetaja na sehemu uliyopata wewe hivyo vitu ingekuwa msaada pia au na wewe umepata huko huko kama walivyoshauri ndugu zetu hapo juu?? Hivi kumbe kuna mbao pia zisizo na kiwango?? Me najua hizo huwa zinaishia shamba huko huko.
 
sehemu zipo nyingi kila mahali zipo...nendeni kwa mafundi tu mkuu wa karibu watawaelekeza...Mbao ambazo hazina kiwango nyingi tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom