Nenda wilaya ya Urambo au Igunga Tabora wapo koboko wakutosha tena na zaidi ongea na wenyeji wa vijijini fanyeni mambo by the way mkuu koboko ni nyoka hatari Sana natumaini unajua hili.
Akiwa amepiga selfii na kobokoSiku si nyingi tatakuona kwenye ITV habari ya saa mbili usiku.
Wafuge wakutosha wateja ndio Hawa🤔.Ninae ila ni pambo la home
Sawa kabisa ndio huyu nae muhitaji Mimi asante sana kwa maelekezo mazuriAnakimbia hadi 16kph
Anaweza kusimama na kifikia 1.5m
Anaweza "kugonga" zaidi ya mara 20 kwa wakati mmoja
Ana sumu kali, akikugonga usipopata tiba ndani ya dakika 30 unafariki
Hufukuza magari na kujishikiza kwalo, ili ukisimama na kushuka tu, unaye!
Hukaa pia juu ya miti na kuvizia wapitao na kuwarukia kuwagonga utosini.
Nenda Katavi, njia ya sStalike - Kibaoni, waone wale wahifadhi, watakupeleka kwenye "kambi" ya koboko
Kila la heri. View attachment 2086436View attachment 2086437View attachment 2086440
Kwani ni nyara mbona watu nimepewa riport tabora kweny mashamba ya tumbaku wapo wengi wanauliwa tuAkiwa amepiga selfii na koboko
Mbona nyoka wanauliwa tu kawaida hata chatu kuna watu wanawamiliki wale wa ngoma za asili lakini hakuna polisi anawasumbua tena hadharani kabisaHiyo ni nyara ya see serikali inaweza kukupeleka jela miaka 30 na faini juu
Snake experts wanasema siku zote ukiona nyoka ana mdomo mweusi huyo ana sumu Kali sana na usimchezee akikugonga ni ndani ya dakika kadhaa unakata roho maana sumu yake inasababisha moyo kusimamia.Anakimbia hadi 16kph
Anaweza kusimama na kifikia 1.5m
Anaweza "kugonga" zaidi ya mara 20 kwa wakati mmoja
Ana sumu kali, akikugonga usipopata tiba ndani ya dakika 30 unafariki
Hufukuza magari na kujishikiza kwalo, ili ukisimama na kushuka tu, unaye!
Hukaa pia juu ya miti na kuvizia wapitao na kuwarukia kuwagonga utosini.
Nenda Katavi, njia ya sStalike - Kibaoni, waone wale wahifadhi, watakupeleka kwenye "kambi" ya koboko
Kila la heri. View attachment 2086436View attachment 2086437View attachment 2086440
Ulipata koboko wako kijana?Mbona nyoka wanauliwa tu kawaida hata chatu kuna watu wanawamiliki wale wa ngoma za asili lakini hakuna polisi anawasumbua tena hadharani kabisa
NakaziaUnautani na koboko wewe
Nying mno ni wewe tuKumbe nchi hii ina fursa sana
Mzma au ngoziMzima??
DaahHabari wana jamvi
Natafuta koboko au hata ngozi yake nchi 6 x9 na kuendelea kama unaye au unayo bei isizidi laki tano kwa koboko mzima au laki mbili kwa ngozi ndefu na safi
Kwa hiyo forex imekushinda umeamua uingie kwenye nyara za serikali???