vanlizer_fx
Member
- Apr 20, 2021
- 50
- 95
Wewe ni dili hiliUnautani na koboko wewe
[emoji23][emoji23][emoji23]unaogopa koboko kuliko helaDili la moto hili, andaa sanda na wasifu wako mapemaaa
Asante kwa ushauriNenda wilaya ya Urambo au Igunga Tabora wapo koboko wakutosha tena na zaidi ongea na wenyeji wa vijijini fanyeni mambo by the way mkuu koboko ni nyoka hatari Sana natumaini unajua hili.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daaahnaona kuna watu wamechoka kula ugali wa kitaa, Wanatamani kula ugali na viboko juu kutoka kwa nyampara
Natangazwa kua kijana alietajirika kupitia kobokoSiku si nyingi tatakuona kwenye ITV habari ya saa mbili usiku.
Mkuu hakuna kiumbe nakiogopa kama nyoka [emoji1787] [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23]unaogopa koboko kuliko hela
Ikitokea hivyo ni jambo la kushukuru, ingawa possibility kubwa ni kutangazwa kama jangiliNatangazwa kua kijana alietajirika kupitia koboko
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ikitokea hivyo ni jambo la kushukuru, ingawa possibility kubwa ni kutangazwa kama jangili
Ataonekana kwenye habari akiwa amesimama pembeni ya ngozi ya huyo koboko kukiwa na silaha kazaa za jadi na atakua peku akitazama chini.Siku si nyingi tatakuona kwenye ITV habari ya saa mbili usiku.
Daaah nmecheka kwa nguvu kwani nyoka ni nyara mbona mtaani wanauliwa tu hamna hata polisi anayeulizia, barabarani unakuta wameuliwa tu hovyoAtaonekana kwenye habari akiwa amesimama pembeni ya ngozi ya huyo koboko kukiwa na silaha kazaa za jadi na atakua peku akitazama chini.
Hiyo ni nyara ya see serikali inaweza kukupeleka jela miaka 30 na faini juuHabari wana jamvi
Natafuta koboko au hata ngozi yake nchi 6 x9 na kuendelea kama unaye au unayo bei isizidi laki tano kwa koboko mzima au laki mbili kwa ngozi ndefu na safi [emoji120][emoji120][emoji120]