Wapi nitapata kilainishi?

Kijana kijana

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2018
Posts
2,546
Reaction score
2,625
Waku samahani nimetafta mafuta ya kilainishi weeee(ky jelly)pharmacy zote cjapata.

Sasa anayeyajua mafta mengine hodari kwa kulainisha mfano wa hayo anijuze wakuu ili nipate kufanikisha zoezi langu.

Mke wangu ana matatizo katika uke wake hivyo tukipata kilainishi kwa wakati huu itakuwa bora zaidi.

Sina nia mbaya na hayo mafuta
 
Nendeni hospital, sasa hivi hayauzwi hovyo mtaani.
 
Mkuu ni bado haijatanuka vzur kutokana na kutoingliwa ovyo ovyo.

Nina mashine kdogo,wala haihitaji spitali
wewe mbona mgumu kuelewa. Huko pharmacy kupata ni ngumu, mahospitalini yapo na yanatumika (kea kazi za kitabibu lakini), so kama Dr akiona kuna haja ya wewe kuyapata anaweza kuku direct pa kuyapata nje ya hospitali
 
Sawa mkuu sasa nimekuwa laini nimekuelewa
wewe mbona mgumu kuelewa. Huko pharmacy kupata ni ngumu, mahospitalini yapo na yanatumika (kea kazi za kitabibu lakini), so kama Dr akiona kuna haja ya wewe kuyapata anaweza kuku direct pa kuyapata nje ya hospitali
 
Mkuu tumia oil no 40 au mafuta ya kuoshea bunduki
 
[emoji848][emoji848] hayapatikani haya walipiga marufuku kwasbabu ya usodoma na ugomola
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…