Iyokopokomayoko
JF-Expert Member
- Sep 15, 2011
- 1,785
- 441
nashukuru sana mkuu, sasa pale airport naanzia wapi?Nenda vyuo vya utalii au airport.
Nashukuru mkuu kwa ushauri wako, naifahamu vizuri sana znz nimeshafanya kazi huko kama mwaka mmoja nikifanya kazi hotelini, nilitamani kuwa beach boy wakati nikiwa huko lakini nilishindwa maana niliambiwa ni lazima uwe umeaga kwenu na mimi sikuwa nimeaga nikagailiNenda Zanzibar kaka halafu kuwa free lance tour guide utakuwa unawatembeza kila kukicha. ila yakupasa uifahamu zanzibar vizuri
King'asti, jf wanahitaji watu wa namna hii? sijaona page wala kazi za kiitaliano humu, nifafanulie zaidi au ni PM if possible (se e' possibile).Umejaribu humu jf?
Ongea na invisible
Nashukuru mkuu, lakini unafikiri katika ofisi kama hiyo wanakosekana watu kama mimi kweli?!!, sijikatishi tamaa lakini naona ofisi kama hiyo hakuwezi kosekana mtu kama mimi ni mawazo yangu tu mkuu bali nitajaribu kama ulivyonishauriNenda Ubalozi wa Tanzania Italia au ubalozi wa Italia Tanzania utaweza kuwafafanulia waTanzania wanaohitaji Visa ya Italia au uwafafanulie waItalia wanaohitaji visa ya Tanzania
Nashukuru mkuu, lakini unafikiri katika ofisi kama hiyo wanakosekana watu kama mimi kweli?!!, sijikatishi tamaa lakini naona ofisi kama hiyo hakuwezi kosekana mtu kama mimi ni mawazo yangu tu mkuu bali nitajaribu kama ulivyonishauri
Nashukuru mkuu kwa
ushauri wako, naifahamu vizuri sana znz nimeshafanya kazi huko kama
mwaka mmoja nikifanya kazi hotelini, nilitamani kuwa beach boy wakati
nikiwa huko lakini nilishindwa maana niliambiwa ni lazima uwe umeaga
kwenu na mimi sikuwa nimeaga nikagaili
Mkuu habari, mbona italy kuna vyuo wanafundisha kiswahili, halafu nijuwavyo mimi ni kuwa waitaliano hawajawahi kututawala kitumwa ila najuwa waingereza unaosema wewe wamewahi kufanya TZ koloni lake. Mi mkuu sijakuelewa kabisa, we nisaidie kama nilivyoomba masuala ya utumwa nitajuwaga huko huko we usijaliKwa nin unakua mtumwa wa fikra mpaka karne hii? Mbona wao hawasomi kiswah huko kwao italia? Kichaga,kiswahi na kingereza vyanitosha kbsa,ctaki UTUMWA MIE.
Ni kama kusema ''mimi natania kidogo lakini natania'' (io gioco poco ma gioco = iyokopokomayoko).Jina lako la kitaliano?
Nilisikia wanaharakati hawataki jambo hilo bilashaka hata serikali haitalifanya kusema ukweli hata mi sipendi itokee maana hakuna sababu hiyo.Muhimbili. Serikali ipo mbiyoni kuajiri madakatari wa ulaya,cuba hadi china.
Kwa hakika mkuu rafiki zangu wengi wameniambia hivyo, mi nipo dar na itaniuma sana kwenda nje ya hapa lakini kama hali ni hii hadi kesho jioni mi keshokutwa nitapanda ngorika, nashukuru sana mkuuInategemea upo wapi, ukija Arusha au Moshi hulali njaa. Makampuni ya tour guide operaters yanatafuta watu kama wewe
..Mkuu wahi season sa hivi, kuna dolari na paundi za nje nje za Watalii. Maisha ni popote sa hivi, usichague kambi.Kwa hakika mkuu rafiki zangu wengi wameniambia hivyo, mi nipo dar na itaniuma sana kwenda nje ya hapa lakini kama hali ni hii hadi kesho jioni mi keshokutwa nitapanda ngorika, nashukuru sana mkuu