Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

Wapi nitapata JBL bluetooth speakers original Mwanza?

Wafanyabiashara Wetu Wengi ni Matapeli na Ujanja Mwingi sana Hasa Kwenye Vifaa vya Electronics unaweza Letewa Refurshed product ukauziwa kwa Bei ya Mpya

Nenda Kwenye Maduka ya Wahindi atleast Unaweza Pata Original hawana Longolongo sana kama Wabongo
 
Ni changamoto sana, kuna jamaa yangu aliagiza Dar ila nahsi amepigwa copy maana inagonga kiasi alafu haikai na chaji. Mi nimeamua kuchukua ya oraimo angalau najua sio copy na inagonga vizuri sana ukilinganisha na bei yake.
 
Back
Top Bottom