Niko mkoani Iringa, naomba kufahamishwa wapi nitapata mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya kutotolesha mayai. Ninahitaji automatic, electronic. Nahitaji kitu genuine na cha uhakika.
Mbwembwe sitaki
Piga 0785670038 anazo kwa bei poa sanaNiko mkoani Iringa, naomba kufahamishwa wapi nitapata mashine tajwa hapo juu kwa ajili ya kutotolesha mayai. Ninahitaji automatic, electronic. Nahitaji kitu genuine na cha uhakika.
Mbwembwe sitaki