elmagnifico JF-Expert Member Jul 7, 2011 8,260 9,705 Sep 9, 2012 #1 waungwana nina laptop yangu aina ya SONY VAIO VPCEG3BGX/B 14 LED Notebook. Nimeidondosha ikapasuka dsplay. Je naweza ipata wapi dar hii?
waungwana nina laptop yangu aina ya SONY VAIO VPCEG3BGX/B 14 LED Notebook. Nimeidondosha ikapasuka dsplay. Je naweza ipata wapi dar hii?
S sawabho JF-Expert Member Feb 25, 2011 5,286 3,107 Sep 11, 2012 #3 Kuna duka moja liko karibu na Idara ya Habari -Maelezo; na lingine Opposite na Wizara ya Sayansi na Technolojia utapata hiyo kitu.
Kuna duka moja liko karibu na Idara ya Habari -Maelezo; na lingine Opposite na Wizara ya Sayansi na Technolojia utapata hiyo kitu.