Wapi nitapata daktari mzuri wa meno?

Wapi nitapata daktari mzuri wa meno?

Huyu hapa
8fd328d319e2b182bb9cd878de6abda8.jpg
 
Jamani kwa DSM zaidi ya muhimbili niwa kwingine, nami nina mtoto wangu meno hayapo vizuri.
Naombeni msaada pls.
Nenda clinic inaitwa Alpha-nyuma ya kanisa katoliki (Mt. Imaculata) Upanga uliza Dr. William Sianga, siku za jumamosi ndo uhakika zaidi. Mimi nilifanyiwa minor operation maana jino liliota kwa ndani na halikutokeza nje likawa limeota upande na linasukuma mengine maumivu niliyokuwanayapata ni balaa lakini alinifanyia hiyo operation vizuri sana. Na hata baada ya operation sikusikia maumivu mpaka napona.
 
Bima wanapokea pia.
 
Ila bei yao imechangamka kung'oa jino moja ni 90,000.
Dah... Umenikumbusha niling'oa jino wakati wa mzee mkapa kwenye hospital moja bagamoyo road...bili ilikuwa elfu 53..mfukoni na 30...palikuwa patamu sana....ikabidi nifanye kazi za usafi pale wafidie Deni lao [emoji12] [emoji12]
 
Nenda clinic inaitwa Alpha-nyuma ya kanisa katoliki (Mt. Imaculata) Upanga uliza Dr. William Sianga, siku za jumamosi ndo uhakika zaidi. Mimi nilifanyiwa minor operation maana jino liliota kwa ndani na halikutokeza nje likawa limeota upande na linasukuma mengine maumivu niliyokuwanayapata ni balaa lakini alinifanyia hiyo operation vizuri sana. Na hata baada ya operation sikusikia maumivu mpaka napona.
Naomba unielekeze namna ya kufika mkuu nikitokea Mwenge
 
Nenda clinic inaitwa Alpha-nyuma ya kanisa katoliki (Mt. Imaculata) Upanga uliza Dr. William Sianga, siku za jumamosi ndo uhakika zaidi. Mimi nilifanyiwa minor operation maana jino liliota kwa ndani na halikutokeza nje likawa limeota upande na linasukuma mengine maumivu niliyokuwanayapata ni balaa lakini alinifanyia hiyo operation vizuri sana. Na hata baada ya operation sikusikia maumivu mpaka napona.

Tuelekeze ilipo clinic hii..
 
Back
Top Bottom