Wapi nitapata 'crash course' ya kufanya biashara?

Wapi nitapata 'crash course' ya kufanya biashara?

omurwanga

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2014
Posts
509
Reaction score
186
Ni wapi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani?
 
Ni wazi nitapata crash course ya kufanya biashara jamani?
Tafuta mtu alieafanikiwa anaefanya aina ya biashara unayotaka kufanya, mwambie akupe makosa aliyoyafanya nyuma ili wewe nae usiyafanye, mwambie akupe changamoto alizopitia hadi kusimama, akueleze amefikaje alipo....

Inakuwa very short cut kufikia top achievements.
 
Back
Top Bottom