okiwira
JF-Expert Member
- Jul 23, 2018
- 3,451
- 3,835
Habari wadau bila shaka mpo salama
Kwa machinga,mfanyabiashara au mdau yoyote wa bidhaa za urembo jijini Mbeya naomba mnielekeze ni wapi ntapata bidhaa hizo kwa bei ya jumla na kwa bei nafuu pia.
Kama vile hereni,cheni,wigi,pafyumu rangi za kucha,lipstik na vitu vyenye mfanano na huo..