Vsat ni satellite dish ambalo hutumika kunasa mawimbi ya mtandao (internet) katika sehem ambazo ni mtandao wa sim haufiki, ambayo unaliset dish in a certain angle provided by ISPs, vsat pia ina Receiver ambayo inaconvert signals form vsat dish to internetvsat inafanya vp kazi mdau..
Je speed ya internet ipoje ukilinganisha na hizi za kawaida. Na je bei zake pia zipoje?Vsat ni satellite dish ambalo hutumika kunasa mawimbi ya mtandao (internet) katika sehem ambazo ni mtandao wa sim haufiki, ambayo unaliset dish in a certain angle provided by ISPs, vsat pia ina Receiver ambayo inaconvert signals form vsat dish to internet
Unachuki zako tu unaacha kusikitishwa na kina tg vd au airtel wakongwe unanza kulalama kwa mtandano ilionza jana wape muda ila kwa sasa halotel ndo habar ya afrkaHalotel wamenisikitisha saana hili eneo lina watu wengi sana ni Mvumi wilaya ya kilosa na wamepita hapo ila hakuna Internet ukiwauliza wanakomaa ipo.
Chuki ki vp, na zungumzia halotel zaidi kwa sababu ndio waliingia mkataba na serekali wa kusambaza Internet vijijini na ofisin za serekali.Unachuki zako tu unaacha kusikitishwa na kina tg vd au airtel wakongwe unanza kulalama kwa mtandano ilionza jana wape muda ila kwa sasa halotel ndo habar ya afrka
Service provider anakuunganisha kwenye Internet kupitia satellite kwa kutumia satellite equipment ambayo ni receiver + satellite antennaUnaweza kutufafanulia hii ndio inakuwaje na inatumikaje .....???
Zipo thuraya smart phone ila tu service plans ndio hatarisatelite phone google thuraya, ila hazina maana unless unaishi msituni na sidhani kama zina mambo mengi.
Hapo ulipo kuna umbali gani toka sehemu ambayo mobile internet inapatikana?Habari wakuu, nahitaji kujua hivi hapa Tanzania kuna kampuni inaweza niuzia kifaa kitakacho weza nipatia Internet yangu mwenyewe mfano niko kijijini sehemu ambayo bado hakuna huduma ya Internet lakini nataka kufunga kifaa kama hicho niweze tumia mwenyewe
Asee inakuwaje hiyo na bei ni sh ngap? Umbali ni km km 35 tuu na internet ilipo.Hapo ulipo kuna umbali gani toka sehemu ambayo mobile internet inapatikana?
Kama umbali haufiki 50km, unaweza setup 1watts WiFi links ila bridge connection toka ilipo kuja hapo ulipo
Nipigie kwenye 0787659145 au 0767659145 tutaongeaAsee inakuwaje hiyo na bei ni sh ngap? Umbali ni km km 35 tuu na internet ilipo.
Niko Nairobi kwa sasa airtel inapatikana uki dial +255 lakini keshokutwa nitakua nimerudiPowa mkuu japo hupatikani kwa namba zote