Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,961
- 4,663
Naomba kujuzwa majina ya waliochaguliwa vyuo vikuu yanawekwa kwenye site za vyuo walivyoomba,au TCU je kama yanawekwa kwenye site za vyuo walivyoomba je yanawekwa kwenye profile walizofungua wakati wa maombi au yanawekwa kwenye list pengine ya PDF tunayoweza kuidownload