Wapi ninaweza kupata sehemu nzuri ya massage nikiwa Arusha

sambeke

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2014
Posts
713
Reaction score
651
Wakuu nilikuwa Serengeti nimevunjwa vunjwa mgongo na mashimo nikiwa kwenye gari . Naomba anaejua sehemu nzuri ya massage Arusha mjini. Asanteni in advance.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukivunjwa mgongo unaenda kutibiwa na wadada wa massage mkuu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
hivi nini faida ya massage?
Swali lako halina tofauti na lile la mtu mwingine kuuliza 'nini faida ya pombe'?
Mlevi ukimuuliza swali kama hilo, anaweza kukunasa hata kibao! Sawa na hao wadau wanaopata hizo huduma za massage!

Kiufupi zinasaidia sana watu wenye uhitaji wa matibabu ya viungo. Ila kibongo bongo, hizo massage zinawasaidia sana vijana wangu mabaharia! na pia zinapunguza tatizo la ajira kwa wale wahudumu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom