Teen Leila
Member
- Sep 24, 2013
- 33
- 4
weka na namba ya simu tukusaidie zaidi.
Naombeni msaada jaman
weka na namba ya simu tukusaidie zaidi.
upo valnurable sana and desperate dada leila... and from wat i think.. unaweza fanya lolote just to get hizo cash...i suggest you relax..kabla mafisadi wa huku jf hawajaja kukubeba if you know what i mean...kaa chini na ndugu zako na jamaa naamini hicho kiasi wanaweza kukichanga...au nenda kwenye mabank na makampuni ukiwaelezea naamini pia watakusikiliza..huku jf watakudisappoint tu....i can only offer my prayers God will help you...
weka na namba ya simu tukusaidie zaidi.
jaribu kwenda kwa mbunge wa jimbo lako
Ntawezaje kuonana nae???? Maana watu wakubwa bila refalee sidhan kama itaezekana ila nashukuru kwa mawazo yako
Ntawezaje kuonana nae???? Maana watu wakubwa bila refalee sidhan kama itaezekana ila nashukuru kwa mawazo yako
Inakera kiasi inatisha, Afadhali ungalisema umjukuu wa Matonya nisingali shangaa kivile, Wee unasoma Open Halafu hujui namna ya kumpata Mbunge wako hadi refaree. Watakaokupima kwa veti vya mikaratasi badala ya limu na ujuzi watakuwa wamnajidanganya..
itawezekana tu yupo kwa ajili ya wananchi