kyakakombo
Member
- Jun 7, 2013
- 41
- 36
wadau nimehamia kwenye kamjengo kangu lakini bado sijapata umeme Naomba kwa anayejua wapi naweza kupata Generator ambalo halina kelele sana ili niweze kupata japo umeme kwa taa tv na friji. Mi nipo Mwanza.
Ipo kubwa yenye injini ya Volvo. Bei Mil. 27wadau nimehamia kwenye kamjengo kangu lakini bado sijapata umeme Naomba kwa anayejua wapi naweza kupata Generator ambalo halina kelele sana ili niweze kupata japo umeme kwa taa tv na friji. Mi nipo Mwanza.
Ipo kubwa yenye injini ya Volvo. Bei Mil. 27